BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24" | Credit News 24

BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"

About BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24" - Business news, Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko akizungumza na baadhi ya wateja wakubwa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati benki hiyo ilipoandaa futari mahsusi. Kati ya mengi aliyoeleza, Shoko aliwahakikishia wateja wa benki hiyo jitihada madhubuti na endelevu zinazoendelea kufanywa na benki ya CBA katika kuboresha huduma na bidhaa zake wakati wote. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala kama mgeni rasmi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Jijini Dar es Salaam.

Wateja wakubwa wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), wakipakua futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wateja wakipata futari kwa pamoja.

This is the article BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"
link : BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"

0 Response to "BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24""

Post a Comment