BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24" | Credit News 24

BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24"

About BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24" - Business news, Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24"




Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (katikati) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwaajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Jijini Dar es Salam juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa wateja wadogo na wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela.

Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na baadhi ya wateja wa Benki ya NMB baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani.

Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya wateja wa benki hiyo walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa na viongozi mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo.

Michuzi

This is the article BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24"
link : BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24"

0 Response to "BENKI YA NMB YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KWA FUTARI "Credit News 24""

Post a Comment