RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24" | Credit News 24

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24"

About RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24" - Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini wakati ikifunguliwa kwenye kabrasha. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kukabidhiwa Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia.
Ikulu Blog

This is the article RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24"
link : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24"

0 Response to "RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 12, 2017 "Credit News 24""

Post a Comment