WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24" | Credit News 24

WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24"

About WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24" - Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24"


Wakazi wa kanda ya Pwani wameipokea kwa furaha kubwa huduma mpya ya Ukarimu inayotolewa na Vodacom Tanzania wakati huu wa msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani inayolenga kutoa ushirika na utoaji.

Ukarimu huu wa Vodacom unakwenda sambamba na kuwapatia wateja kifurushi kinachowawezesha kupata Qaswida, Mawaidha, Hadith, Facebook yenye picha na kuzungumza usiku wanaposubiri daku BURE kabisa. Ili mteja aweze kunufaika na bando hili la Ukarimu anatakiwa kupiga *149*01# kisha kuchagua aina ya bando kulingana na uwezo wake wa kifedha. Lipo bando linalodumu kwa muda wa saa 24 na linalodumu kwa siku saba.

Kwa kiasi cha shilingi 1000, mteja atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 10 kwenda mitandao yote, ujumbe mfupi wa maandishi wa maandhishi bila kikomo, simu kupitia mtandao pamoja na ujumbe wa didi bure

Kwa mteja atakayenunua bando la shilingi 3000 atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 30 kwenda mitandao mingine, ujumbe mfupi wa maandishi bila kikomo, simu za bure usiku Vodacom kwenda pamoja na ujumbe mfupi wa maandishi wa dini bure kwa siku saba.

Siku ya leo Vodacom wanaendelea na futurisha katika mane yafuatayo;

Tanga

  • Nyako 
  • Mtindiro Kwabeda 
  • Korogwe mjini 
Mtwara
  • Newala 
Lindi
  • Kilwa somanga 
  • Kilwa chumo 
  • Ruangwa namungo




    This is the article WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

    Title : WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24"
    link : WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24"

    0 Response to "WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM "Credit News 24""

    Post a Comment