NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24" | Credit News 24

NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24"

About NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24" - Business news, Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24"

Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mjini Kahama, Shinyanga jana. Klabu hiyo imeanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katikati ni mmoja wa wateja, Salum Selemani na Joshua John (kulia), Ofisa Masoko wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) kutoka ofisi ya Mwanza.
 Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Kahama, katika semina iliyoandaliwa kabla ya  uzinduzi  rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC hiyo iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Hafla ya uzinduzi ilifanyika mjiini Kahama, Shinyanga jana.

 Meneja wa Kanda wa NBC, Daudi Mfalla (kulia), akizungumza wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi  rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC  iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara wadogo na wakati wa NBC, Evance Luhimbo.

This is the article NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24"
link : NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24"

0 Response to " NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA "Credit News 24""

Post a Comment