RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti wa Zantel, Hamza Zuheri (wa tatu kushoto) juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel jana jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la Kampuni hiyo katika maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mfanyakazi wa Zantel Fadhili Mfinanga (wa pili kushoto) juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel jana jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la Kampuni hiyo katika maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia) akipokea mfuko wa zawadi baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la Kampuni ya Mawasiliano Zantel ili kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni hiyo jana jijini Dar es salaam katika maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Katikati ni Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti wa Zantel, Hamza Zuheri.
Mkazi wa mkoa wa Morogoro, Peter Albano akichangia damu katika banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel alipotembelea banda hilo jana jijini Dar es salaam ili kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni hiyo. Zantel kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa damu Salama wameandaa utaratibu wa uchangiaji damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa huduma hiyo katika kipindi hiki cha maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Anayetoa damu ni Msanifu Maabara kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Sebastian Magulu.
Mkazi wa Goba, jijini Dar es salaam, Vincent Xavier akichangia damu katika banda la Kampuni ya Mawasilianao ya Zantel alipotembelea banda hilo jana jijini Dar es salaam ili kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni hiyo. Zantel kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa damu Salama wameandaa utaratibu wa uchangiaji damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa huduma hiyo katika kipindi hiki cha maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Anayemtoa damu ni Mhudumu wa Afya ya jamii kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Erica Ishengoma.
This is the article RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"
link : RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24"
0 Response to "RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM "Credit News 24""
Post a Comment