WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA "Credit News 24"
Mteja wa Vodacom akinunua bando ya RED, atapata nafasi na kipaumbele ya kuhudumiwa bila kukaa kwenye foleni wakati akitembelea duka lolote la kampuni hiyo, atapata huduma ya SOKONI App BURE, taarifa fupi ya M-Pesa BURE pindi anapohitaji na huduma ya kipekee pindi atakapowasiliana na huduma kwa wateja. Ili mteja ajiunge na kunufaika na kifurushi hiki anatakiwa kupiga *149*01# na Chagua RED na ataona vifurushi hivi vya RED.
Kifurushi cha Silver
TZS 30,000
600 Dakika (Mitandao Yote)
3GB Data
3,000 SMS
Kifurushi cha Gold
TZS 50,000
1,000 Dakika (Mitandao Yote)
7GB Data
7,000 SMS
Kifurushi cha Platinum
TZS 95,000
2,500 Dakika (Mitandao Yote)
30 Dakika (Kimataifa)
20GB Data
15,000 SMS
This is the article WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA "Credit News 24"
link : WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA "Credit News 24"
0 Response to "WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA "Credit News 24""
Post a Comment