G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24" | Credit News 24

G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24"

About G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24" - Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24"


Shindano la “Mwagika Challenge” lililoendeshwa na kampuni ya bia ya Tanzania Breweries Limited (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager hivi karibuni limefikia tamati ambapo Iddi Kidungwa, Michael Mwalembena Nasma Msangi wakiibuka washindi. 

Washindi hao wanatarajiwa kuonekana kwenya video mpya ya msanii mkubwa wa bongo Fleva, G-Nako Warawara
‘Mwagika Challenge’ iliyokuwa na lengo la kuwapa fursa vijana kuonesha vipaji vyao pia liliungwa mkono na mastaa kama Shettah na Shilole waliokuwa mstari wa mbele kuhimiza mashabiki kushiriki shindano hilo pia ni miongoni mwa wasanii watakaonekana kwenye video hiyo.


Video hiyo inayotarajiwa kutoka 17.09.2017 itakuwa ya aina yake kutokana na vionjo mbalimbali vilivyotumika. Sitaki kukuchosha na stori nyingi, tizama teaser hapa chini na endelea kufuatilia mitandao ya kijamii ya Kilimanjaro kuona safari ya Mwagika challenge hadi kutengeneza video hii.


This is the article G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24"
link : G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24"

0 Response to "G-NAKO AWASHIRIKISHA WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE KWENYE VIDEO YAKE MPYA "Credit News 24""

Post a Comment