TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24" | Credit News 24

TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24"

About TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24" - Credit News 24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24"

Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) akisaidiana na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti kutoa huduma kwa Happiness Muthali wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yameanza juzi.
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti wakifurahi jambo na mteja wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) akitoa huduma kwa Happiness Muthali wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yamefanyika jana katika duka la Tigo Mlimani City jijini Dar.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Chisael  akijadiliana jambo na Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti (katikati) katika duka la Mlimani city.

Wateja wakiendelea kupata huduma.

This is the article TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24" this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24"
link : TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24"

0 Response to "TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA DUKA LA MLIMANI CITY "Credit News 24""

Post a Comment